Back to home
Afisa wa DCI ahojiwa Kitengela, asalimisha bunduki baada ya ufyatuaji risasi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 26, 2026
1h ago
Afisa wa polisi aliyehusishwa na ufyatuaji wa risasi na kuwajeruhi watu wawili,katika eneo la burudani huko kitengela amesalimisha bunduki yake. Afisa huyo, ambaye ameagizwa kuandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha Kitengela, yuko chini ya uchunguzi huku waliojeruhiwa waki
Advertisement
Advertisement





