Back to home
Wazazi Kisii washirikiana kumlipia Fridah Luwai karo ya Gredi 10
video
C
Citizen TV (Youtube)January 26, 2026
3h ago
Kina mama wachuuzi kutoka soko la Marikiti huko Kisii wamejitokeza kuungana kufadhili Masomo ya mtoto yatima ambaye babake alikuwa akihudumu kwenye soko hilo kabla ya kufariki miaka miwili iliyopita. Wakiwa wamevalia nguo zao za kazi, kina mama hawa walichangisha shilingi elfu 80
Advertisement
Advertisement




