Back to home

Punda ngombe: Mashirika ya haki yatoa tahadhari kuhusu biashara

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 26, 2026
2h ago
Mashirika ya kutetea haki za wanyama yanazidi kutoa tahadhari dhidi ya biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda, uchinjaji wa punda ukisalia marufuku nchini. Kwenye awamu ya tatu na ya mwisho ya makala maalum, Evans Asiba anaangazia juhudi za pamoja za kukomesha biashara hiyo.
Advertisement