Back to home

Wafanyikazi wa nyumbani walalamikia unyanyasaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 27, 2026
2h ago
Zoezi la kuchukua maoni kutoka kwa wafanyikazi wa nyumbani ili kubadili sheria ya mazingira bora ya kufanyia kazi limeng'oa nanga huko mombasa. Shirika la leba duniani linashinikiza kutekelezwa kwa mapendekezo ya kongamano la 189 na 190 kuhusu unyanyasaji na dhulma kwa wafanyakaz
Advertisement