Back to home

Vifaa vya uzazi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 27, 2026
2h ago
Tukisalia kwenye masuala ya vifo vinavyotokana na kina mama kujifungua, visa hivyo vimeripotiwa kupungua katika hospitali mbalimbali kaunti ya kajiado baada ya wizara ya afya kaunti hiyo kupokea msaada wa mashine za picha. Waziri wa afya kaunti ya kajiado, alex kilouwa, amesema
Advertisement