Back to home
Kitui kupata megawati 135 zaidi za umeme
video
C
Citizen TV (Youtube)January 27, 2026
2h ago
Kaunti ya Kitui itanufaika na umeme wa zaidi ya megawati 132, hatua utakaoboresha usambazaji wa umeme katika kaunti hiyo na kusaidia ukuaji wa viwanda pamoja na biashara ndogo.
Waziri wa kawi Opiyo wandayi, aliendelea kusema kwamba mradi huo utasaidia pakubwa na kuwainua kiuchumi
Advertisement
Advertisement





