Back to home

Gor Mahia wafanya mazoezi kujiandaa kwa pambano na Sofapaka Fc

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 27, 2026
1d ago
Viongozi wa ligi kuu ya kenya Gor Mahia Fc wamerejea mazoezini huku wakijiandaa kwa pambano gumu dhidi ya Sofapaka Fc jumamosi kwenye uwanja wa taifa wa Nyayo. Gor Mahia ilishinda mkondo wa kwanza 2-0 kwenye uwanja wa dandora lakini benchi la kiufundi haliachi chochote kwenye lig
Advertisement