Back to home
Nairobi United yajiandaa kwa mechi ya ufunguzi wa mwaka 2026 dhidi ya Shabana FC
video
C
Citizen TV (Youtube)January 2, 2026
3h ago
Kocha mkuu wa Nairobi United Nicholas Muyoti ameeleza kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mechi yao ya ufunguzi wa mwaka 2026 ugenini dhidi ya Shabana Fc uwanjani Gusii jumapili.
Advertisement
Advertisement



