Back to home

Polisi Kisii waanza msako wa genge la vijana lililosababisha kifo cha mmoja na kujeruhi wengine

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 2, 2026
3h ago
Polisi kaunti ya Kisii wameanzisha msako wa genge la vijana linaloendeleza uhalifu uliosababisha kifo cha kijana mmoja na wengine kadhaa wakijeruhiwa. Waathiriwa wakiwachwa na majeraha ya mapanga na visu. Kwa mujibu wa wenyeji, washirika wa genge hilo wamekuwa wakizunguka na piki
Advertisement