Back to home

Mwanamume aliyemuua chatu apata afueni baada ya kuahidiwa fidia ya serikali

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 2, 2026
3h ago
Mwanamume aliyemuua chatu baada ya kumshambulia na kumuua mbwa wake katika kijiji cha Luoka eneo la Madungu kaunti ya Siaya, amepata afueni baada ya kuhakikishiwa kwamba atapokea fidia ya serikali.
Advertisement