Back to home
Waathiriwa wa risasi Kitengela walilia haki, waomba polisi wachukue hatua dhidi ya wahusika
video
C
Citizen TV (Youtube)January 27, 2026
19h ago
Watu wawili waliopigwa risasi siku tatu zilizopita katika eneo moja la burudani mjini Kitengela kaunti ya kajiado wanalilia haki wakitaka polisi kufanya hima kuwachukulia hatua waliohusika. Kupitia wakili wao Daniel Kanchory, waathiriwa wametaka uchunguzi huo kutohitilafiwa licha
Advertisement
Advertisement





