Back to home

Mradi wa maji waanzishwa kijijini Wamumali, Bumula

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 30, 2026
21h ago
Huenda tatizo la uhaba wa maji katika kijiji cha wamumali kilichoko wadi ya kabula eneo bunge la Bumula likazikwa katika kaburi la sahau.
Advertisement