Back to home
Familia yapokea madaftari ya ukumbusho wa hayati Raila Odinga
video
C
Citizen TV (Youtube)January 30, 2026
20h ago
Katibu katika wizara ya mambo ya nchi za kigeni Dr. Kipkorir Sing'oei, amekabidhi familia ya hayati raila odinga mamia ya vitabu vya maombolezo kutoka ofisi za kenya zilizoko nchi za nje. Dr. Sing'oei amesema kuwa idadi ya vitabu hivyo vinaonyesha umaarufu wa marehemu Raila Oding
Advertisement
Advertisement




