Back to home
Viongozi wa bodaboda wapinga vituo visivyo rasmi Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)February 5, 2026
2h ago
Baadhi ya viongozi wa bodaboda katika Kaunti ya Kajiado wametoa wito kwa serikali kuchukua hatua za haraka ili kudhibiti usalama na nidhamu miongoni mwa waendesha pikipiki.
Advertisement
Advertisement





