Back to home

Harambee Starlets wajiandaa wakiongoja kushiriki kombe la mataifa ya wanawake Morocco

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 6, 2026
2h ago
Mkufunzi wa Harambee starlets Beldine Odemba ameeleza kuridhishwa na kambi ndogo ya mazoezi kwa wachezaji wa ndani wa Harambee starlets kuelekea kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake mwaka huu nchini Morocco.
Advertisement