Back to home
Mamake mtaalam wa usalama Mwenda Mbijiwe azidiwa na hisia miaka mitano baada ya kutoweka kwake
video
C
Citizen TV (Youtube)February 11, 2026
2h ago
Hisia zilimzidi mamake mtaalam wa maswala ya usalama Mwenda Mbijiwe miaka mitano baada ya kutoweka kwake kwa njia tata. Jane Gatwiri akisema anaamini mwanawe yungali hai, akiitaka mahakama ya Milimani kuwaagiza maafisa wakuu wa usalama kumwasilisha mwanawe kortini.
Advertisement
Advertisement





