Back to home

Urithi wa Jaji Majanja: Mahakama yadinda kumpa kaka Sh22 milioni za bima

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 12, 2026
3h ago
Mahakama kuu jijini Nairobi imedinda kupokeza urithi wa marehemu Jaji David Majanja kwa kakake mdogo ikisema hela hizo zitagawanywa kulingana na sheria za urithi. Martin aluvisia Majanja alienda mahakamani kudai urithi huo wa shilingi milioni 22.
Advertisement