Back to home
Wanasheria 15 wateuliwa kuwa majaji wa mahakama ya rufaa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 22, 2026
2h ago
Tume ya huduma za mahakama imewateua wanasheria 15 kuwa majaji wa mahakama ya rufaa nchini. Miongoni mwa walioteuliwa baada ya mahojiano yaliyokamilisha hapo jana ni pamoja na mwenyekiti wa sasa wa halmashauri ya utendakazi wa polisi IPOA Issack Hassan ambaye pia aliwahi kuhudumu
Advertisement
Advertisement




