Back to home

Katibu katika wizara ya fedha Dkt. Boniface Makokha ameongoza halfa ya kuhamasisha viongozi wa kidin

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 19, 2026
3h ago
Katibu katika wizara ya fedha Dkt. Boniface Makokha ameongoza halfa ya kuhamasisha viongozi wa kidini eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta kuhusu mipango ya kiuchumi ambayo serikali kuu inatekeleza.
Advertisement