Back to home

Wizara ya Afya katika Kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha harakati za kukabiliana na vifo vya kina mama

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 24, 2026
1h ago
Wizara ya Afya katika Kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha harakati za kukabiliana na vifo vya kina mama na watoto wakati wa kujifungua. Hatua hii ikifanikishwa kufunguliwa kwa hospitali mpya ili kuhakikisha huduma zinafika karibu na wakazi. Collins Shitiabayi anaarifu zaidi
Advertisement