Back to home
Kaunti tano zaibuka vinara katika orodha ya kaunti zinazofanya vyema zaidi katika uundaji wa ajira
video
N
NTV Kenya (Youtube)February 24, 2026
2h ago
Ripoti mpya ya Bodi ya Ruwaza ya mwaka 2030 ya Kenya imeonyesha kuwa kaunti za Murang’a, Nakuru, Kiambu, Kisumu na Meru zimeibuka vinara katika orodha ya kaunti zinazofanya vyema zaidi katika uundaji wa ajira.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and
Advertisement
Advertisement

