Back to home
Wazee wa jamii ya Kipsigis wafanya maombi maalum kwa heshima ya marehemu Johanna Ng’eno
video
C
Citizen TV (Youtube)March 5, 2026
2h ago
Wazee wa Myoot wa jamii ya Kipisigis wamefanya maombi maalum katika mlima wa Emurua Dikirr kwa heshima ya marehemu Johanna Ng’eno aliyeaga dunia kufuatia ajali ya ndege pamoja na watu wengine watano
Advertisement
Advertisement



