Back to home

Makali ya njaa Basuba Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 5, 2026
2h ago
Wakazi wa wadi ya Basuba ndani ya msitu wa Boni kaunti ya Lamu wamekuwa wakikabiliwa na baa la njaa kutokana na kiangazi kikali cha muda mrefu. Kiangazi hiki kimesababisha mazao mashambani kunyauka.
Advertisement