Back to home

Wanafunzi 43 katika kaunti ya Vihiga wamepokea ufadhili kutoka kwa wakfu wa Rodgers Bwosi

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 13, 2026
5h ago
Wanafunzi 43 katika kaunti ya vihiga kutoka familia zisizojiweza wamepokea ufadhili wa ksh 500,000 kutoka kwa wakfu wa Rodgers Bwosi ili kuendeleza masomo yao, akilenga kupunguza umaskini kupitia elimu.
Advertisement