Back to home
Walimu zaidi ya 100 katika kaunti ya Busia wamepata mafunzo ya kutumia akiliunde (AI)
video
C
Citizen TV (Youtube)February 13, 2026
3h ago
Walimu zaidi ya mia moja katika kaunti ya Busia wamepata mafunzo ya namna ya kutumia akiliunde (AI) darasani ili kuboresha na kuandaa masomo yanayoambatana na mahitaji ya wanafunzi haswa wa mtaala wa CBE.
Advertisement
Advertisement



