Back to home
Serikali ya Belarus yatoa msaada wa kibinadamu nchini Kenya
video
C
Citizen TV (Youtube)March 13, 2026
5h ago
Serikali ya Belarus imetoa msaada wa kibinadamu wenye thamani ya takribani Shilingi milioni 23 kusaidia juhudi za kukabiliana na maafa nchini Kenya.
Advertisement
Advertisement





