Back to home

Watu sita wapatikana na hatia katika wizi wa mabavu unaohusiana na mauaji ya George Muchai

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 13, 2026
2h ago
Watu sita waliokuwa wanatuhumiwa kwa wizi wa mabavu unaohusiana na mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Kabete George Muchai mwaka wa 2015 wamepatikana na hatia.
Advertisement