Back to home
Afisa wa polisi atembea kilomita 180 kuhamasisha umma Nyamira
video
C
Citizen TV (Youtube)March 20, 2026
2h ago
Afisa mmoja wa polisi kutoka kaunti ya nyamira ameanza matembezi ya amani ya kilomita 180 yanayoitwa “community policing peace walk 2026,” yatakayochukua muda wa siku kumi , kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya umma na polisi.
Advertisement
Advertisement





