Back to home
Mama na mtoto waangukiwa na nguzo ya umeme Maweni huko Malindi
video
C
Citizen TV (Youtube)March 20, 2026
3h ago
Watu wawili mama na mwanawe wameaga dunia katika eneo la Maweni eneo bunge la Malindi baada ya kuangukiwa na guzo ya umeme
Advertisement
Advertisement




