Back to home

Idadi ya waliofariki kwenye mafuriko yafikia 85

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 23, 2026
2h ago
Idadi ya watu waliofariki kwenye mafuriko nchini imeongezeka hadi 85 hii leo, baada ya watoto wawili kufariki kwenye maporomoko ya ardhi katika eneo la Kitende kaunti ya Makueni. Wawili hao walifariki baada ya nyumba yao kufunikwa na matope. Haya yanajiri huku mamia ya watu wakik
Advertisement