Back to home
Seneti yakagua hali ya uwanja wa ndege wa Wilson jijini Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)March 26, 2026
3h ago
Kamati ya Seneti kuhusu Barabara, Uchukuzi na Miundombinu imefanya ukaguzi katika Uwanja wa Ndege wa Wilson jijini Nairobi ili kutathmini hali ya uwanja huo
Advertisement
Advertisement





