Back to home
Shinikizo linaendelea kuongezeka kwa vyama tanzu juu ya nani atakaye wania kiti cha urais
video
C
Citizen TV (Youtube)March 31, 2026
2h ago
Shinikizo linaendelea kuongezeka kwa vyama tanzu vya muungano wa upinzani kukubaliana kuhusu ni nani atakayepeperusha bendera yao katika uchaguzi ujao wa mwaka 2027 na kumkabili Rais William Ruto.
Advertisement
Advertisement





