Back to home

Kamati ya olimpiki nchini NOC-K imesisitiza umuhimu wa makocha katika kudumisha ubora wa Kenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
April 9, 2026
2h ago
Kamati ya olimpiki nchini NOC-K imesisitiza umuhimu wa makocha katika kudumisha ubora wa Kenya katika riadha kimataifa wakati wa mafunzo yanayoendelea ya makocha yaliyoandaliwa na noc-k kwa kushirikiana na kituo cha maendeleo ya riadha afrika.
Advertisement