Back to home
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameahidi ujenzi wa daraja la Mto Enziu utakamilika haraka
video
C
Citizen TV (Youtube)April 9, 2026
2h ago
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameahidi wakazi wa Mwingi ya Kati kuwa ujenzi wa daraja la Mto Enziu utakamilika haraka iwezekanavyo, akisema kuwa kuna fedha za kutosha za kukamilisha mradi huo.
Advertisement
Advertisement





