Back to home

Mamia ya wakazi wa Ilbisil Kajiado wanufaika na mafunzo ya haki za binadamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
April 17, 2026
3h ago
Mamia ya wakazi wa Ilbisil katika eneo bunge la Kajiado ya Kati wamenufaika na mpango wa elimu ya uraia kuhusu haki za binadamu, unaolenga kuwawezesha kuelewa haki zao za msingi na namna ya kutafuta haki pindi zinapokiukwa.
Advertisement