Back to home
Orengo ajitangaza kuwa kinara asili wa ODM
video
C
Citizen TV (Youtube)April 24, 2026
1h ago
Mvutano kati ya mirengo miwili ya chama cha ODM unaendelea kutokota huku sasa Gavana wa Siaya James Orengo Sasa akijitangaza kuwa ndiye kinara asili wa chama cha chungwa. Orengo anasema kuwa mrengo wa linda mwananchi utaendelea na mikutano yake licha ya vitisho kutoka kwa baadhi
Advertisement
Advertisement




