Back to home
Wakazi wa Oloolua wakabiliwa na changamoto kuhufadhi msitu
video
C
Citizen TV (Youtube)May 5, 2026
2h ago
Gavana wa Kaunti ya West Pokot, Simon Kachapin, anaitaka serikali kufutilia mbali leseni zote za wachimbaji dhahabu katika kaunti hiyo, akisema kuwa wengi wao hawajazingatia sheria za kulinda mazingira na hivyo kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira katika eneo hilo.
Advertisement
Advertisement





