Back to home

Gavana wa Embu Cecily Mbarire azindua ujenzi wa mradi wa maji Mbeere Kusini

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 13, 2026
2h ago
Familia zaidi ya 366 katika maeneo kame yambeere kusini, aunti ya Embu County, zinatarajiwa kunufaika na upanuzi wa mradi wa maji ya kilimo wa rupingazi-Weru unaogharimu shilingi milioni 69.
Advertisement