Back to home

Watu wanne wakamatwa na pombe zaidi ya lita elfu sita kunaswa

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 21, 2026
1h ago
Watu wanne wakatwa na pombe zaidi ya lita elfu sita kunaswa katika nyumba moja eneo la Rhonda, Nakuru Magharibi katika msako wa kupambana na pombe haramu. Wanne hao wakamatwa katika boma wanakotengenezea pombe haramu
Advertisement