Back to home
Viongozi wa jamii na kidini wafanya mkutano na vijana katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)June 19, 2026
2h ago
Viongozi wa jamii, viongozi wa kidini, vijana pamoja na waathiriwa wa maandamano ya hivi karibuni katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado waahidi kudumisha amani wakati kunapotokea maandamano.
Advertisement
Advertisement




