Back to home
Serikali yaanza mchakato wa kulipa wakazi wanaoishi karibu na chemchemi za maji King'wal Nandi
video
C
Citizen TV (Youtube)June 26, 2026
3h ago
Serikali kupitia wizara ya ardhi ikishirikiana idara mbalimbali yaanza mchakato wa kuwafidia mamia ya wakazi wanaoishi Karibu na chemichemi ya Kingwal kaunti ya Nandi ambao wakumbwa na chamgamoto za wanyama pori pamoja na mafuriko.
Advertisement
Advertisement





