Back to home

Gavana wa Bungoma na Kakamega wakemea hulka ya uhuni

video
C
Citizen TV (Youtube)
July 15, 2026
2h ago
Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa na mwenzake wa Bungoma Kennedy Lusaka walaani vikali tabia iendeleayo ya vurugu za kisiasa, huku wakionya kuwa wahuni ni tishio kubwa kwa demokrasia ya nchi.
Advertisement