Back to home
Madaktari katika kaunti ya Meru wasitisha mgomo uliodumu kwa siku 45
video
C
Citizen TV (Youtube)July 17, 2026
1h ago
Madaktari katika kaunti ya Meru wasitisha mgomo wao baada kutia saini mkataba wa makubaliano na serikali ya Kaunti hiyo kupitia chama cha madaktari nchini KMPDU.
Advertisement
Advertisement




