Back to home

Wakaazi wa Mugirango wakerwa na utovu wa usalama

video
C
Citizen TV (Youtube)
July 21, 2026
6h ago
Wakazi pamoja na viongozi kutoka eneo bunge la Mugirango Magharibi wakemea ongezeko la visa vya uchomaji shule vionekanavyo kuongezeka katika eneo hilo.
Advertisement