Back to home

Kaunti zatakiwa kutenga fedha kwa huduma za watoto wenye ulemavu

video
C
Citizen TV (Youtube)
July 21, 2026
5h ago
Serikali za kaunti zimetakiwa kutenga mgao maalum wa fedha kwa ajili ya kuhudumia watoto wenye ulemavu ili kuhakikisha wanapata huduma za msingi wanazostahili.
Advertisement