Back to home
Wanafunzi Machakos watangamana na wanasayansi mashuhuri kupitia mpango wa sayansi
video
C
Citizen TV (Youtube)July 21, 2026
5h ago
Idadi kubwa ya Wanafunzi wa Kaunti ya Machakos walipata nafasi ya kipekee kutangamana na wanasayansi mashuhuri duniani kupitia mpango wa kuhamasisha kuhusu masomo ya sayansi ulioandaliwa katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Machakos.
Advertisement
Advertisement





