Back to home

Jamii ndogo za Isaaq na Harti zalalamikia dhulma wakidai kupokonywa ardhi ya zaidi ya ekari 70

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 6, 2026
3h ago
Jamii ndogo za Isaaq na Harti ziizoishizo Isiolo zamlilia rais awalinde kutokana na kukandamizwa na kukandamizwa na tume ya ardhi nchini NLC wakisema tume hii imekuwa ikipuuza haki zao za kumiliki ardhi kwenye kaunti ya Isiolo.
Advertisement