Back to home

Familia zaidi ya 70 za maskwota Ndalala zaishi kwa hofu baada ya ardhi kuzungushiwa ua

video
C
Citizen TV (Youtube)
August 31, 2026
2h ago
familia zaidi ya 70 zinazoishi kama maskwota katika shamba la Ndalala, eneo la Kapkitany, kaunti ya Nandi, zinaishi kwa hofu baada ya sehemu kubwa ya ardhi hiyo kuwekwa ua.
Advertisement