Back to home
Wakuu wa vyuo vikuu waitaka serikali kutoa fedha za ufadhili kwa wanafunzi
video
C
Citizen TV (Youtube)August 31, 2026
2h ago
Wakuu wa vyuo vikuu wameitaka serikali kuu kupitia wizara ya elimu kuhakikisha mfumo wa ufadhili kwa wanafunzi wa vyuo vikuu unatolewa ili masomo ya wanafunzi hasa wa mwaka wa kwanza yasitatizike.
Advertisement
Advertisement
![| UKUMB I Gharama ya kufanya biashara [ part 1]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-UKUMB-I-Gharama-ya_1788166326-16x9.jpg)



