Back to home
Shirika la Moledecc yawaandaa vijana kwa uwekezaji na maendeleo Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)August 10, 2026
1h ago
Shirika la Moledecc linalohusisha viongozi wa kidini kutoka kaunti ya Mombasa limezindua mpango wa kuwahamasisha vijana kuhusu uwekezaji na kujihusisha katika miradi ya maendeleo ili kuepuka kuwa vyombo vya kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu.
Advertisement
Advertisement




